Biashara ya Mtandaoni

Unajua kama wewe unatumia vitu kama Jamii forums shukuru sana.

Hivi unajua watanzania wengi hata kutumia browser ni issue. Sasa zikianza steps za kufanya malipo,jumlisha na matatizo ya delivery na gharama zake, na issue ya uaminifu basi inakuwa ngumu.

Labda kama utakuwa na discount ya kipekee unaweza kufanikiwa
 
Back
Top Bottom