annarosemary Member Mar 26, 2016 18 8 Apr 5, 2016 #1 Habari Natafuta sehemu ambapo nitanunua korosho kwa bei ya jumla hapa Tanzania
Jongwe JF-Expert Member Apr 25, 2008 1,040 662 Apr 5, 2016 #3 annarosemary said: Habari Natafuta sehemu ambapo nitanunua korosho kwa bei ya jumla hapa Tanzania Click to expand... Si unajua korosho zinalimwa wapi hapa Tanzania? Nenda kaonane na wakulima au unatafuta mtu wa kati?
annarosemary said: Habari Natafuta sehemu ambapo nitanunua korosho kwa bei ya jumla hapa Tanzania Click to expand... Si unajua korosho zinalimwa wapi hapa Tanzania? Nenda kaonane na wakulima au unatafuta mtu wa kati?