Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post.
swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M.
Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na kutoka kwa experienced dealers.
Sipo hapa kununua au kutafuta dhahabu maana sio sehemu sahihi.
asanteni