Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,206
- 2,979
Mbona hii kadhia na kelele imekuwa kubwa sana? Kila mtu anauza dawa za nguvu za kiume na vibamia shida iko kwa wanaume au wanawake ndio kikwazo?
Ile kauli ya hakuna jipya chini ya jua inamaana hata zamani haya matatizo yalitesa watu? Lakini mbona siku hizi ongezeko ni kubwa?
Kizazi kijacho kutakuwa na jambo linafanyika kweli au ndio itakuwa hakuna jambo kabisa!