Nimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara
Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania
Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na kutengeneza endapo ikiharibika ndo maana watanzania wanashindwa Fanya hii biashara
Kwa mtaji wa million 300
Una uhakika wa kila mwezi kuingiza million 60 km profit, ambapo ela yako ya mtaji itarudi baada ya miezi mitano tu.
Kwaio km mko watu watatu au wanne mmeingia kweny hii biashara ujue roughly unaingiza mil 20 profit kila mwezi
Nikiingia kiundani zaidi inabidi uwe na vibali, kampuni yako uisajili, utengeneze brand yako na Mashine ukanunue China na uzilete Tanzania, changamoto ya hii biashara inahitaji rushwa nyingi Sana Mpk kuja kufungua hii biashara, maana viongozi wetu wanaogawa vibali bila rushwa hupati kibali ,utazungushwa mpk ukome.
Ili mradi kuendesha hii biashara unahitaji gari kwa ajili ya kupeleka Mashine site
PIKIPIKI kwa ajili ya wafanyakazi kuwa wanapitia izi MASHINE
Na viongozi kuwa wanasimamia na kutoa muongozo kwa wafanyakazi
Inabidi ununue Silver (Coins) tsh 200 uzitunze kwa ajili ya mtaji wa Mashine
Nimekuja kujua kuwa kinachotufelisha watanzania ni mtaji tu.