Biashara Saa za Kiume

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,679
PACK 1 Business Watches
Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja
Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pisi 20
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila saa
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya saa 14000+Usafiri 500+Mimi 500=15000
15000x20=300,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 14000x20=280,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 500x20=10,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 500x20=10,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei kwa katoni (pea 20) kila moja 17000
Bei kwa dazeni (pea 12) kila moja 18000
Bei Kwa Jumla (pea 5) kila moja 20000
Bei rejareja (pea 1) 22000-25000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
O1CN01G4s9cy23ZFfkP2XHD_!!2577257269-0-cib (1).jpg
O1CN01Vwc13U23ZFfkP2XHQ_!!2577257269-0-cib (1).jpg
2-1CH-Multimedia-Active-Speaker-Hi-Fi-Speaker-Multimedia-Subwoofer-Speaker-Sea-Piano-SP-1002-2...jpg
WhatsApp Image 2023-09-04 at 22.18.08.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-04 at 22.22.03.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-04 at 22.25.24.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-04 at 22.26.06.jpeg
JIUNGE ILI KUONA MPYA KILA SIKU WHATSAPP (1) - Copy.jpg
 
PACK 2 Skmei Watches
Mchanganuo wa gharama ni kama hapo juu
WhatsApp Image 2023-09-04 at 22.18.08.jpeg
2-1CH-Multimedia-Active-Speaker-Hi-Fi-Speaker-Multimedia-Subwoofer-Speaker-Sea-Piano-SP-1002-2...jpg
O1CN01Vwc13U23ZFfkP2XHQ_!!2577257269-0-cib (1).jpg
O1CN01G4s9cy23ZFfkP2XHD_!!2577257269-0-cib (1).jpg
JIUNGE ILI KUONA MPYA KILA SIKU WHATSAPP (1) - Copy.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom