Hii kitu imewahi nikuta usiombe aiseeHabari za majukumu wana jf. Leo naleta mada hii iwe kama funzo kwanaotaka kuanza biashara au wanaofanya biashara.
Nianze kwa kwakusema biashara inaitaj mtu uwe na roho ngumu yaani usiwe na huruma.
Mambo yaliyochangia kufunga biashara Yangu:
1. Uaminifu. Binafsi ni mtumishi wa serikali, hivyo nahitaji kuwa na mtu/kijana atakaeweza kusimamia biashara, lakini kwenye biashara yangu ilikua ni mtiti, vijina sio waaminifu karne hii, ikitokea umewagundua tu wanachukua chao na kusepa. Na wanasepa kwa kukupa hasara.
2. Changamoto za mahusiano zilivuruga biashara yangu. Waswahili wana kwambia kosea vyoote ila usikosee kuoa hapa ni siwe msemji sana ila kama mke wako mgomvi ana , hasira na wivu uliopitiliza hutoboi mzee kila siku litaibuka jipya.
3. Nilifeli kwenye usimamizi. Mahali biashara ilipo na sehemu y kazi pana umbali mrefu hali hiyo ilinifanya nitumie siku za weekend kuangalia bishara inaendaje. Uhuru wa kijana from Monday to Friday ulifanya niwenapigwa za uso. Ilifika mahali mauzo ya wiki hayafikii hata pesa ya kulipa pango.
4. Aina ya biashara niliyofanya pia inaweza kuwa ni sababu kwasababu niya msimu, kuna msimu biashara haiendii kabisa inakua ngumu sanaa.
Ilifika mahali kodi ya pango natumia salary yangu na hadi sasa kodi ya TRA imenishida kulipia. Leo naandika barua ya kusitisha kuwa mlipakodi kwenye biashara yangu.
Mpango mkakati wa kuanza tena biashara.
Ninampngo wa kubadilisha biashara ila najipa kwanza pumziko la mwaka mmoja ivii... kupunguza machungu ya hasara niliyoingia kwakipindi chote cha biashara.
Nibora hiyo aibu kuliko ki run bussiness kwa hasara.alafu biashara yako unamuonea aibu nani walikupa mtaji?Inatia hasira sanaaa af niaibu kufunga biashara
KabisaInatia hasira sanaaa af niaibu kufunga biashara
2026 utaifungua una nyota ya 2.4.6....Habari za majukumu wana JF,
Leo naleta mada hii iwe kama funzo kwanaotaka kuanza biashara au wanaofanya biashara.
Nianze kwa kwakusema biashara inaitaj mtu uwe na roho ngumu yaani usiwe na huruma.
Mambo yaliyochangia kufunga biashara Yangu:
1. Uaminifu. Binafsi ni mtumishi wa serikali, hivyo nahitaji kuwa na mtu/kijana atakaeweza kusimamia biashara, lakini kwenye biashara yangu ilikua ni mtiti, vijina sio waaminifu karne hii, ikitokea umewagundua tu wanachukua chao na kusepa. Na wanasepa kwa kukupa hasara.
2. Changamoto za mahusiano zilivuruga biashara yangu. Waswahili wana kwambia kosea vyoote ila usikosee kuoa hapa ni siwe msemji sana ila kama mke wako mgomvi ana, hasira na wivu uliopitiliza hutoboi mzee kila siku litaibuka jipya.