Biashara gani nianze nayo kwa mtaji wa Tsh 500,000

Mnapo omba ushauri nivizuri mkaanza na kutaja mkoa, wilaya na maeneo ulipo. Hii itafanya wepesi kwa wachangiaji kuona namna nzuri ya kukushauri.
Hata kuona ni sehemu ipi nzuri ya makutano ili ushauri utolewe uso kwa uso na ufuatiliaji uwepo maana unaweza ukawa unatoa ushauri watu wanaenda kuwa mabilionea alafu hata sura au soda yake haujawahi kunywa
 
Naombeni ushauri nzuri jamn nina laki 5 nifanye biashara gani?
Kijiwe cha kahawa,kijiwe cha chips,Genge la mboga mboga na matuda,kiduka cha Muha cha kutembea,au tafuta center na mtumba wako mbili tatu hapo inategemea,mashuka,pazia,nguo za watoto au vinginevyo.Ama kama ni sehemu yenyeu shida ya maji kodi baiskeli na dumu kadhaa uza water......
 
Back
Top Bottom