LGE2024 (Betrayal in the city) Daftari la uwandikishaji wa serikali za mitaa,huwa anazihifadhi nani? Baada ya zoezi kuisha, inchi ngumu sanaa hii!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Gabeji

JF-Expert Member
Sep 10, 2024
921
1,220
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
 
Sisi hapa kwetu daftari Diana anaenda nalo nyumbani.
 
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Punguza hofu, baada ya zoezi la uandikishaji kutamatika, orodha ya wote walioandikishwa itabandikwa katika kituo husika na kutoa fursa Kwa kila mkazi wa eneo hilo kukagua majina yaliyopo kwenye orodha, endapo utakuwa na mashaka na jina Fulani Kwa aidha hajatimiza umri awa kujiandikisha au si mkazi wa eneo hilo unaruhusiwa kuweka pingamizi Kwa kutoa ushahidi juu ya pingamizi hilo, na Ili kuondoa huo wasiwasi wakaruhusu kila chama kiweke wakala kwenye kituo
 
Karani ndio anaenda nalo nyumbani, majuzi kuna jamaa alijisahau akaacha kaunta bar moja hivi sijui walimrudishia au ilikuaje maana kituo chake anasema walijiandikisha watu 15 tu
Hii ni hatari sana kwa masilai mapana ya inchi, Tanzania Bado hatupo seriously, na kama CHAMA x kikaongeza majina huko ? Who knows this
 
Punguza hofu, baada ya zoezi la uandikishaji kutamatika, orodha ya wote walioandikishwa itabandikwa katika kituo husika na kutoa fursa Kwa kila mkazi wa eneo hilo kukagua majina yaliyopo kwenye orodha, endapo utakuwa na mashaka na jina Fulani Kwa aidha hajatimiza umri awa kujiandikisha au si mkazi wa eneo hilo unaruhusiwa kuweka pingamizi Kwa kutoa ushahidi juu ya pingamizi hilo, na Ili kuondoa huo wasiwasi wakaruhusu kila chama kiweke wakala kwenye kituo
Duuuuu hatari sana
 
Utahoji kama hujui mfumo wa uchaguzi wa Tanzania ila sisi kiufupi ni nchi ya chama kimoja na ya kidiktekta nyuma ya ngozi ya demokrasia...ila CCM wanajua bila hizi mbinu chafu hawatatoboa..ndio maana msishangae watu wasionaelement za CCM wakakosa majina yao siku ya uchaguzi
 
Kwa mwenendo wa hizi nyuzi za kulialia kila siku ni wazi kuna kundi linajua kabisa limeshashindwa hivyo linatafuta justification tu
 
Utahoji kama hujui mfumo wa uchaguzi wa Tanzania ila sisi kiufupi ni nchi ya chama kimoja na ya kidiktekta nyuma ya ngozi ya demokrasia...ila CCM wanajua bila hizi mbinu chafu hawatatoboa..ndio maana msishangae watu wasionaelement za CCM wakakosa majina yao siku ya uchaguzi
Alafu mnaita time huru ya uchaguzi? Tupo serious kweli watanzania
 
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Bila shaka atakuwa mw.kiti wa mtaa,menye uelewa ajitolee ufafanuzi tafadhali?
 
Back
Top Bottom