K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 515 376 Apr 15, 2018 #1 Nimefurahi sana kukuta mech za vpl kwenye premierbet leo
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 76,436 160,771 Apr 15, 2018 #2 Ntabet mbunye, sio soka la Bongo
Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 26,210 80,157 Apr 15, 2018 #3 Juzi game ya simba vs mbeya city na mtibwa vs ndanda nimepiga mkwanja mrefu sana kwa first half tu.
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 515 376 Apr 15, 2018 Thread starter #4 Bujibuji said: Ntabet mbunye, sio soka la Bongo Click to expand... Kama hiyo game ya azam na njombe mji hapo weka ht 100k ua njombe
Bujibuji said: Ntabet mbunye, sio soka la Bongo Click to expand... Kama hiyo game ya azam na njombe mji hapo weka ht 100k ua njombe
N nguvu JF-Expert Member Jun 13, 2013 23,328 22,964 Apr 15, 2018 #5 Shomy . I said: Kama hiyo game ya azam na njombe mji hapo weka ht 100k ua njombe Click to expand... Hahaha
Shomy . I said: Kama hiyo game ya azam na njombe mji hapo weka ht 100k ua njombe Click to expand... Hahaha
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 515 376 Apr 15, 2018 Thread starter #6 nguvu said: Hahaha Click to expand... Kweli mpira unadunda
Lady Ra JF-Expert Member Mar 23, 2014 886 1,004 Apr 15, 2018 #7 Shomy . I said: Kama hiyo game ya azam na njombe mji hapo weka ht 100k ua njombe Click to expand... Kwa Azam hii hii ya gari la Mkaa?? Trip Shamba Trip gereji?
Shomy . I said: Kama hiyo game ya azam na njombe mji hapo weka ht 100k ua njombe Click to expand... Kwa Azam hii hii ya gari la Mkaa?? Trip Shamba Trip gereji?
Mzingo JF-Expert Member Nov 2, 2014 4,735 10,520 Apr 15, 2018 #8 Premier betting hawambebeshi kodi mteja. Kama makampuni mengine