Poa mkuuSawa, usihofu, nitakutaarifu!
Karibu!!
Munawar, unakitu cha kujifunza kutoka kwa huyu muuza magari mwenzako, anaweka full details na Anajibu wateja vizuri, wewe siku hizi unaona aibu hata kupost humu kutokana na jeuri yako
Munawar, unakitu cha kujifunza kutoka kwa huyu muuza magari mwenzako, anaweka full details na Anajibu wateja vizuri, wewe siku hizi unaona aibu hata kupost humu kutokana na jeuri yako
Mtoto jelebi wewe naona umejileta kwa kidumeStory nyingi sana ni kawaida yako !!!
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.. . .Kwa tanzania, na kwa asilimia kubwa ya watanzania, gari kuanzia 2005 hua wanaita "new model" kwa maana hio ndio maana hata hii benz nikasema ni "new model" ili.kwenda sambamba na wale ndugu ambao huita hivyo (ili isiwachanganye)
Ila hata hivyo, hatuwezi kuiita hii model ya 2009 old model sana kama ya 2000
Sababu bado.ina thamani!!
MAGARI7
Vijana mna mbwembwe mpaka basi....hhaaaaaaaaaaHakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.
Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako wa
Hakuna kitu kama hicho braza...labda unataka kutumia 'ujinga' wa watu kwa manufaa yako. Huwezi kuita new model gari ya mwaka 2009, wakati kuna model ya 2016. Acha kuwafanya watz wateja wako watarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.
Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
tarajiwa wajinga. Kuwa mkweli, huna haja ya kusema new model. Ni heri useme tu Benz ya mwaka 2009, na kama unaamini bado ipo poa, sema hivyo kwenye maelezo. Lakini siyo kutaka kuvutia wateja kwa kuwadanganya au kutake advantage ya kutoelewa kwao.
Nimeweka hapa C class ya mwaka 2016. Hii ndiyo new model.
Chifu, kama ni mtu wa kuelewa unapaswa kuwa umeshaelewa hoja yangu. Ondoa hilo neno 'new model' kwenye tangazo lako.Sawa, sasa kwahio unataka kusema hii ya 2009 tunaiweka category moja na 2002 na kurudi nyuma sindio.?!
Siyo mbwembwe chifu. Jamaa anatumia marketing strategy ya kitapeli. Na nimeshindwa kuvumilia kubaki kimya nilipoona tangazo.Vijana mna mbwembwe mpaka basi....hhaaaaaaaaaa
Chifu, kama ni mtu wa kuelewa unapaswa kuwa umeshaelewa hoja yangu. Ondoa hilo neno 'new model' kwenye tangazo lako.
Sema ni Benz model ya mwaka 2009. Na ndiyo zote zipo kwenye category moja, 'old C class models'. Ila moja ni older than the other tu.
Sawa, lakini sijaona mantiki ya kuanza kubishana kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa.
Hii benz bado itabaki kuitwa ni new model pia na wala haibadiliki, kwa sababu bado ina thamani tofauti na model zake za nyuma zilizopita.