Habari za asubuhi wakuu!
Katika kipindi Cha miezi miwili iliopita kipindi Rais anazindua majengo ya B.O.T Mwanza, aliwaagiza pia washushe riba ili wananchi wengi waweze kukopa zaidi kutokana na kushuka kwa ukuaji wa uchumi.
Tarehe 27/07/2021, BOT ikatoa tamko rasmi ikiorodhesha juhudi mbali mbali zinazobidi kufanyika ili kuendeana na hali ya mdololo wa uchumi ikiwemo kupunguza riba kwa mabenki ya biashara kutoka asilimia 15 hadi 3,ili wao waweze kuwakopesha kwa chini ya asilimia 10,huku nao wakitenga mfuko maalum wenye thamani ya trillioni 1,kwa ajili ya mabenki ya biashara kuweza kukopa B.O.T.
Je, ni lini mabenki yataanza kutekeleza agizo hilo kwa ajili ya kupandisha huu uchumi uliodolola? Ama kuna changamoto zozote zile ambazo wanazipata kwenye kutekeleza hili agizo?
Je, ni zipi hizo?
BOT ilisema taarifa inabidi ianzwe kutekelezwa kuanzia tarehe 27/07/2021.
Nimeambatanisha na Tangazo la BOT hapa chini.
View attachment B.O.T Report.pdf