Benki sasa kupata taarifa za wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Jerry Sabi (kushoto) na Bw. Davith Kahwa, Mtendaji Mkuu wa CreditInfo Tanzania Ltd wakibadilishana nakala za mkataba ambao utaiziwezesha taasisi za kifedha zinazotoa mikopo nchini kuhakiki taarifa za waombaji mikopo, ambao ni wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu, kabla ya kuwapa mikopo mipya. Wengine ni Bw. Robert Kibona na Bw. Frimat Tarimo kutoka HESLB na Bw. Van Reynders, Meneja wa CreditInfo Tanzania. (Picha: HESLB).
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) mwishoni mwa wiki imesaini mkataba na Kampuni ya CreditInfo Tanzania Ltd utakaowezesha taarifa za wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu kufikishwa katika Kitengo cha Uratibu wa Taarifa za Mikopo (Credit Reference Bureau) kilichopo katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kampuni ya CreditInfo Ltd ina leseni iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kufanya kazi hiyo.

Kwa habari zaidi, soma hapa => Benki sasa kupata taarifa za wadaiwa wa HESLB | Fikra Pevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…