PingPong JF-Expert Member Dec 21, 2008 926 160 May 16, 2017 #1 Wakuu habari zenu, naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu benki ambayo mtu anaweza kufanya transactions zote including kuweka na kutoa pesa akiwa Tanzania na pia hata akiwa China.
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu benki ambayo mtu anaweza kufanya transactions zote including kuweka na kutoa pesa akiwa Tanzania na pia hata akiwa China.
PingPong JF-Expert Member Dec 21, 2008 926 160 May 17, 2017 Thread starter #3 OK, kuna nyingine ukiacha hiyo CRDB?
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,809 15,417 May 17, 2017 #4 China Commercial Bank pale IT Plaza Posta