Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

Walijiapiza mno kuifuta Israel katika uso wa dunia. Wakaapa, na kuapa na kujiapiza tena. Wakaandaa vikosi kweli kweli - Hamas, Hezbollah, Houthi na kubwa lao kule mashariki kwa mamajusi!

Oktoba 7 waka-test mitambo wakaua 1,200 ndani ya usiku mmoja raia wasio na hatia. Jemadari Netanyahu the Custodian of the Holy Land angefanyaje? Au ungekuwa wewe ndiye kiongozi ungefanyaje kwa watu wako wasio na hatia kuuliwa?

Wacha unafiki! Kazi anayotekeleza Netanyahu moja kazi bora kabisa kwa nafasi yake; kazi ambayo mtawala yeyote angefanya kwa uhuni ule wa Oktoba 7.
 
Ungewalaumu HAMASI kwanza. Kipindi Hamasi wanaua wayahudi mliimba alahakbari, fimbo ilipogeuka mnaanza kulaani wanaojitetea.
Mungu wa Israel ni Mungu wa Majeshi. Vita ni sehemu ya maisha ya wateule.
acha ujinga hakuna Mungu anayeruhusu huu uovu
 
Walijiapiza mno kuifuta Israel katika uso wa dunia. Wakaapa, na kuapa na kujiapiza tena. Wakaandaa vikosi kweli kweli - Hamas, Hezbollah, Houthi na kubwa lao kule mashariki kwa mamajusi!

Oktoba 7 waka-test mitambo wakaua 1,200 ndani ya usiku mmoja raia wasio na hatia. Jemadari Netanyahu the Custodian of the Holy Land angefanyaje? Au ungekuwa wewe ndiye kiongozi ungefanyaje kwa watu wako wasio na hatia kuuliwa?

Wacha unafiki! Kazi anayotekeleza Netanyahu moja kazi bora kabisa kwa nafasi yake; kazi ambayo mtawala yeyote angefanya kwa uhuni ule wa Oktoba 7.
acha ujinga wewe kabla ya octoba 7 unajua uovu waliofanyiwa wapalestina?
 
Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
Peleka huko kwenye taraweya mkamjadili huko hapa unatujazia seva tuu. Au msomeeni ili kurujuani yenu kama inafanya kazi
 
acha upuuzi jadili mada usione mtu kaandika kitu unakimbilia udini mimi ni mkatoliki pure,msitetee ushetani
 
Walijiapiza mno kuifuta Israel katika uso wa dunia. Wakaapa, na kuapa na kujiapiza tena. Wakaandaa vikosi kweli kweli - Hamas, Hezbollah, Houthi na kubwa lao kule mashariki kwa mamajusi!

Oktoba 7 waka-test mitambo wakaua 1,200 ndani ya usiku mmoja raia wasio na hatia. Jemadari Netanyahu the Custodian of the Holy Land angefanyaje? Au ungekuwa wewe ndiye kiongozi ungefanyaje kwa watu wako wasio na hatia kuuliwa?

Wacha unafiki! Kazi anayotekeleza Netanyahu moja kazi bora kabisa kwa nafasi yake; kazi ambayo mtawala yeyote angefanya kwa uhuni ule wa Oktoba 7.
wewe hujui chochote,ni ushabiki wa kijinga ndio unaokutuma kuandika upuuzi huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom