Benitez yupo kikaangoni!

madrid hawana huruma yani 10:2 haziwatoshi had kumfukuza benitez
 
...10-2 baada ya wapinzani kubaki 9,hebu uliza wakati wako 11 vs 11 hali yao ilikuaje?!
 
...najua wanataka kumleta mou,hali yao itaendelea kuwa mbaya tu, then nikikumbuka kipindi kile mou anaondoka madrid maneno aliyosema...
nawasikitikia madrid wako desperate sana...
kosa kubwa ilikua kumfukuza ancellotti.
 
...10-2 baada ya wapinzani kubaki 9,hebu uliza wakati wako 11 vs 11 hali yao ilikuaje?!

ha ha ha ha walikuwa washakabwa koo ikabd huruma za refa ziwasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…