Leo mtoto wangu wa drs la 3 ameniuliza swali hili akidai ni homework amepewa shuleni. Haraka tu nikagugo nipate jibu.nikaiona picha ya bendera ya Rais wetu ikiwa imezungushiwa rangi ya bluu huku kijani ikichukua sehemu kubwa. Nikaona pia rangi nyekundu ikiwa katika ngao. Kwa ujumla nimeshindwa kutoa jibu. Uzi tayari karibuni