Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
2,315
7,690
Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT.

Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana.

Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
IMG_5298.jpeg
 
Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT.

Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana.

Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu HamzaView attachment 3235591

Victor Costa Nampoka ' Nyumba'... alikuwa beki hasa.

Wachambuzi wetu wengi humu maredioni na tv stations ni Watoto Wa 'Alf mbili' sio rahisi kukuelewa..!
 
Uyu ndie alishikilia bukta ya prince Dube mpaka akaichana wakati anapimwa umri.
Alitakiwa apewe Straight RED kwakua alikua mtu wa mwisho.
Makosa ya kibinadamu yaka mbeba.
Beki wa kati ambaye mzito kuliko gunia la misumari hali inayo msababishia majeruhi ya kila wakati hasa kwenye mechi zenye kasi.
 
Beki kitasa huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom