jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Duh ni zaidi ya mln 60!Habari wakuu?Naomba kujua bei ya madini ghafi aina ya Rubby kwa gramm moja kwa hapa Dar es salaam,
Rubby kutoka kusini mwa Tanzania.
Hiyo inafahamika thamani ya Jiwe hupanda kutokana na size na hardnes ya Jiwe....Si mil 60, swala ni kwamba bei inategemea na ukubwa WA jiwe. Jiwe menya gram 3 bei kwa gram ni tofauti na jiwe lenye gram 1 au jiwe lenye gram 5
Ni ya msumbiji mutupwesh mkuu.Duh ni zaidi ya mln 60!
Hiyo ruby ni ya wapi ni ya morogoro au tanga au ya msumbiji....
Kingine dar hakuna wanunuzi wazuri wengi wao longolongo wanunuzi wazuri Wako tunduru
Lakini Kama kweli hiyo ni ruby natural......
Kutengenezea vito!mkuuNaomba kufahamishwa hayo madini ya ruby kazi yake kubwa ni nini hasa..!!
Nenda tunduru!huko Kuna wanunuzi wa ki srilanka na wathailand wamejaa huko!wananunua bei nzuriNi ya msumbiji mutupwesh mkuu.
Poa mkuuKutengenezea vito!mkuu
Bado wapo hawa watu? Bei gani ruby sasa kwa gram?Nenda tunduru!huko Kuna wanunuzi wa ki srilanka na wathailand wamejaa huko!wananunua bei nzuri
Ruby yenye quality gani mkuu na ya wapiBado wapo hawa watu? Bei gani ruby sasa kwa gram?
ukiweka top ten ya mawe yenye thamani zaidi toka tanzania ,tanzanite haipoIna maana Ruby ina thamani kuliko Tanzanite
kumbeeeukiweka top ten ya mawe yenye thamani zaidi toka tanzania ,tanzanite haipo
Ina maana Ruby ina thamani kuliko Tanzanite
ukiweka top ten ya mawe yenye thamani zaidi toka tanzania ,tanzanite haipo
Nami ndio najua sasa kuwa ruby iko juu kuliko tanzanitekumbeee
Yapo mengi **** emarlad inapatikana sumbawanga kwa gram mil 12 ,sapphire ipo maeneo mengi kwa gram haipungui mil 10 ikiwa bomba , kuna alexandrite kwa gram haipungui mil 25 ,almasi kwa gram haipungui mil 15 ,kuna green garnet haipungui mil 30 kwa gram ,wakati tanzinite ni ngunu kuzidi mil 5 kwa gram labda iwe kubwa na nzuri sana .

NB Hapa naongelea yakiwa na high quality