Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 62
- 52
Habari wana JF, nahitaji kujua bei nzuri an affordable ya Pasi kampuni ya PHILIPS. Nimejaribu kupitia uzi bei zina range 28k adi 40k ila nimepitia jiji Tz kule naona bei zake zina range 50k adi 65k sasa nashndwa kupata muafaka wa bei nisije nikaenda Dukani ni kapigwa. Kwa mtu anayejua chimbo la bei nzuri, pasi OG za PHILIPS Anisaidie.