Tatizo sio kua na ng'ombe wengi tatizo ni shilling ya Tanzania inashuka thamani kwa kasi....shilling 10,000 kwa sasa huwezi kuacha nyumbani kwa mke na watoto wawili ukichelewa kurudi nyumbani usiku hawali kwasbb haitoshi milo miwili.Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
Watu wanaogopa kutaja wanapo ishi kwa nini?11000 kilo.1
Oooh Njombe nyama ya ng'ombe kilo 1 tsh 11000/=Watu wanaogopa kutaja wanapo ishi kwa nini?
Pilau ndio chakula ya sikukuu huku uswaz, unashauri pilau ya mchicha ama sijakupata vizuriTule mchicha tu kwanza nyama sio nzuri kiafya.