hahahaha...pole kwa majanga yaliyokupata apo Mikadinenda mikadi beach kigamboni, ila unavoogelea suruali uwe nayo maana si kwa wizi uliopo pale, na ukienda na mtoto mzuri ndo umeisha kabisa, wahuni si watu wazuri dadeki
hayakunikuta ila nshaenda Sana pale na nshashuhudia hayo kwa macho yanguhahahaha...pole kwa majanga yaliyokupata apo Mikadi
asante sanakuna open beach nyingi tuu haulipii kiingilio wala kulazimishwa kununua chochote kama coco, kawe, mbezi beach, ila ukitaka utulivu nauogelee kwa aman bila kuwaza kuibiwa nguo na vitu vingine tembelea ledger (bahari beach), kunduchi beach (wet n wild) hotel zilizopo beach ya mbezi kama vile girrafe, landmark, white sands, ramada, water world, beach comber, n.k kiingilio kina range 10,000 (hoteli nyingi) mpaka 50,000 (kama kumbukumbu ziko vizuri ramada hotel)