Nakusha nenda Bsc. Accounting and Finance Ardhi University,,UD wana mfumo wa elimu wa kizamani sanaBachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
Bachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
Hivi mkuu unaweza soma CPA kabla hujamaliza bachelor?Mi nimesoma bcom in finance udsm... kwa ushauri wangu anza kuwaza CPA iyo ishu ya ardhi na udsm sio muhim ww chagua chochote apo ila anza kujipanga kuhusu CPA. Nakuhakikishia utaukumbuka ushauri wangu milele
Kwanini mkuu??Nakusha nenda Bsc. Accounting and Finance Ardhi University,,UD wana mfumo wa elimu wa kizamani sana
sikiliza dogo muda wa chuo miaka 3 ni mifupi sana kama unataka kutoboa na ukimalza uwe na cv nzito ukiwa chuo yani 1st year 2nd semester anza kupunguza mitihani ya CPA., wewe unaangaika na vitu visivyo na msingi kabisa sijui udsm au ardhi. nisikilize mm ni graduate udsm bcom finance naelewa mistake nilifanya kama zakoHivi mkuu unaweza soma CPA kabla hujamaliza bachelor?
Mimi siye niliyeuliza swali la msingi ila nimependa kujua kama inawezekana kufanya CPA during naendelea na bachelorsikiliza dogo muda wa chuo miaka 3 ni mifupi sana kama unataka kutoboa na ukimalza uwe na cv nzito ukiwa chuo yani 1st year 2nd semester anza kupunguza mitihani ya CPA., wewe unaangaika na vitu visivyo na msingi kabisa sijui udsm au ardhi. nisikilize mm ni graduate udsm bcom finance naelewa mistake nilifanya kama zako
ndio unafanyaMimi siye niliyeuliza swali la msingi ila nimependa kujua kama inawezekana kufanya CPA during naendelea na bachelor
Vipi utaratibu wake in advance?ndio unafanya
Hivi mkuu unaweza soma CPA kabla hujamaliza bachelor?
Nenda veta kasomee plumbing , utanikumbukaBachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
Hivi kwel kwenda UDSM ni swali LA kuuliza?Bachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
Zote ni sawa kazi ni kwakoBachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo