BBC: TB Joshua Aliwatendea Watu Uhalifu Wa Kutisha Ikiwemo Ubakaji Ndani ya Kanisa Lake.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
61,760
72,193
Hayo ndio yaliyojori huko kwenye Kanisa la Marehemu TB Joshua maarufu kama Sinagogi la Mataifa yote.

Ikumbukwe TB Joshua alikuwa na ukaribu na Wakuu wa Serikali huko Nigeria kiasi kwamba watu waliojaribu kutoa taarifa zake walitishwa au kupotezwa hivyo kufanya kuwe na ugumu.👇👇

View: https://x.com/bbcswahili/status/1861263201066721780?t=xbbR6ZS_-PlH2pfs6bGcjw&s=19

My Take
Wacha Waendelee kuwafanyia hivyo hivyo maana hawana akili.

Kuna watu waliuwawa Moshi Kwa kile kilichoitwa wanagombea Mafuta ya upaka lakini hakuna kesi iliyotokea.
Screenshot_20241026-222252.jpg
 
Kuna hizi mburumundu zenye kuendesha ligi za kidini.

Ukiziambia dini si kama timu za mpira, hazisikii.

Ukiziambia imani hazilinganishwi wala kushindanishwa, ni heri kumpigia mbuzi gitaa.

Kwa hakika si za kuonea huruma.

Kama zingali zinapumua ni mwendo wa nyundo utosini tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom