juzi walipiga huo wimbo Goodhope fm ni kijisehem kidogo pale unapoanza ndo unafanana bt sio wimbo wote. kiukweli ukisikia nyimbo inavyoanza huwez kujua ni wimbo wa naniDid Justin Bieber steal the best bit of Sorry? - Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry?
Habari zenu wadau,
Kuna taarifa zimetolewa kwenye chombo cha habari bbc kumuhusisha mwanamuziki Bieber na skendo ya kuiba bit, kwamba bit ya nyimbo SORRY amefanya copy, na mmiliki wa hiyo bit ameanza procedures za kumfungulia bieber mashtaka......
Source:bbc
Ni kweli unavyosema, ila bit kweli ukisikiliza vizuri kuna mfanano, inawezekana justin kachukua idae ya bit ila katengeneza na kuiboresha zaidi kwa namna bit liwe tofauti, ngoja tuone mwisho wake wa hii casejuzi walipiga huo wimbo Goodhope fm ni kijisehem kidogo pale unapoanza ndo unafanana bt sio wimbo wote. kiukweli ukisikia nyimbo inavyoanza huwez kujua ni wimbo wa nani
Hapo juu kwenye hiyo link click hapo kwenye site utauona huo wimbo na video yake ya huyo white winterland mlalamikajidah kama dgo kaiba beat bs huyo anayemiliki beat hana mamlaka ya kumshtaki msanii, mashtaka yaende kwa producer! hata hivo kachelewa sana mana dgo ameingiza mabilioni ya kutosha thru that song.
Kama kweli dogo justini bieber atakuwa amepatikana na hatia na akakiri ameiba ajiendae kulipa faini,wenzetu wana sheria kali kusimamia kazi za wasanii sio huku Afrika, hivi unakumbuka kilicho wakuta ROBIN THICKE&PHARELL WILLIAMSIf so??!!! What then!! na dogo ndo keshahit na sooooori
Mbona wacheka....Hahaha
Tusiseme tu huyu msanii winter anatafuta kiki tukaishia hapo kuna hoja nyuma ya pazia, imezoeleka kuwa wasanii wakubwa kuwaibia wasanii wadogo kazi zao hatuwezi kusema ni kiki tu........Huyo jamaa anatafuta kiki tu bit hazijafanana kabisa kidooogo mwanzo lakini bado sana.
Yani mafua yalinikamata leo kidogo ndiyo nimepata nafuu......Upo poa lakini mbona umenichunia hivyo
Asante......Poyeee, ok get well soon