ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Hii redio ilitusaidia sana miaka ya nyuma hapa Tanzania hadi kufikia 2016 hivi hatukuipata tena sijui kama kibali chao kiliisha au la ila nakumbuka frequency zake zikapewa kituo kingine cha redio.
Kiukweli sasa hivi wengi wapenda News na matukio duniani tunataabika sana,redio hii ilikidhi haja zetu kwani ilikesha ikiporomosha habari za dunia kwa maana ya trending news na matukio
Siku hizi ni vigumu kujua hata nini kinaendelea redio nyingi ni kupiga miziki na nyingi zimekua zikitangaza dini na nyingi ni kamari kwa kwenda mbele, hupati habari za matukio kama ilivyokuaga huko nyuma.
Kiukweli tunakosa vingi ukizingatia redio hii mfano mimi nimekua nikiikuta na kuisikiliza hata ninapokua nchi za mbali ulaya, hata asia yaani usiku ndio inanoga zaidi.
Tuwaombe wahusika Bbc waturudishie frequency hapa Tanzania tuendelee kufarijika na News.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app