BAWACHA someni Yohana 19:26 "Mama tazama Mwanao, tazama Mama yako. Na Efeso 6:1-4 "Watoto waheshimuni Wazazi "

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,635
165,616
CPA Catherine Ruge soma vizuri sana hiyo mistari ya Kitabu Kitakatifu na uwashirikishe Bawacha wote utamu wa Neno la Mungu wa Mbinguni

Kwa heshima mlimualika mama na kwa Upendo Mkuu aliitikia Mwaliko,Akaja tena siyo Mikono mitupu alileta na zawadi basi enyi Bawacha kuweni Watii na Waaminifu

Mungu wa Mbinguni awabariki 🌹

Pia, Soma: BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana
 
Aliyewapa zawadi anawajibika kulinda raia anaowaongoza na hasa watoto..kabla ya kuwapa BAWACHA mistari mpe yeye mistari kwanza kumkumbusha wajibu wake!
 
CPA Catherine Ruge soma vizuri sana hiyo mistari ya Kitabu Kitakatifu na uwashirikishe Bawacha wote utamu wa Neno la Mungu wa Mbinguni

Kwa heshima mlimualika mama na kwa Upendo Mkuu aliitikia Mwaliko,Akaja tena siyo Mikono mitupu alileta na zawadi basi enyi Bawacha kuweni Watii na Waaminifu

Mungu wa Mbinguni awabariki 🌹

Pia, Soma: BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana
unawavuruga tu hao wamama ambao kwa sasa wanaoteswa na ukaidi na laana ya mamlaka ya dunia kutoka kwa Mungu 🐒
 
Back
Top Bottom