Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kwanini wasifanye kwenye mikutano ya ccmMagari ya washawasha yalikuwa yanapata kutu maana tangu yanunuliwe hayajatumika kwa hiyo ikabidi itafutwe sababu ya kuyatumia
Ccm ndiyo inayotoa maelekezo kupitia Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilayaKwanini wasifanye kwenye mikutano ya ccm
Hatupo kwenye gari ya mwendokasiWazee wa matamko yasiyo na effect katika ubora wenu......<MARA TUTAANDAMANA NCHI NZIMA>...Mbna hatuwaoni kuandamana nchi nzima....Nahisi haya matamko mnayotoa mnapewa posho kwa kila tamko hivyo mmegeuza ni kamradi....maana kila kukicha ni matamko yasiyo na tija na vitisho visivyo na kichwa wala miguu
Waliopata vyeo polisi nimakada Wa ccm na wakimbiza zindiko LA ccm( Mwenge)
Wakati Obama akijiuliza baada ya muongo mmoja nchi yao itakuwa imezalisha nchi inayoheshimu mawazo ya kutofautiana ,ccm imewafanya wananchi wawe maamuma
Mwenyezi Mungu atawafanya kama jinsi "SAULI" alivyomuo ea wivu mpakwa mafuta Wa Mungu" DAUDI" hamtabaki salama ccm kama sio wazazi wao basi watoto wenu hawataachwa lazima mtakinywea kikombe
Kwanini wasifanye kwenye mikutano ya ccm