Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Salamu kwa Vijana na Watanzania wote wapenda Amani katika nchi yetu.
Tuna shukuru Mungu kwakuwa zoezi letu la kuendelea na Uratibu wa kwenda Dodoma kuzuia mkutano haramu wa Ccm inaendelea vizuri sana.
Jana tulikuwa Tanga na jioni kikao cha Mwisho cha uratibu tulikifanya Singida na hari ya vijana kwenda Dodoma kulisaidia jeshi la Polisi ipo juu sana,na mpaka sasa katika Center ya kupokea majina tayari tuna vijana zaidi ya elfu5 walio tayari kufika Dodoma.
Utakumbuka Malengo yetu ni kufikisha Vijana elfu mbili na mpaka sasa tumeweza kuvuka lengo tulilojiwekea kwa muda mfupi sana,
Jambo la jema kwetu ni kwamba wapo mpaka wana Ccm walijitolea kutufadhili kuwafikisha vijana Dodoma kwa lengo la kuona hii double standard inakomeshwa mapema ili nchi yetu ibaki kuwa na umoja,amani na ushirikiano kama awali,
Bavicha tunatoa wito vijana wetu kuendelea kujiandaa kufika Dodoma, na kuacha kusikiliza maneno ya upotoshaji kutoka kwa wapinzani wetu kuwa tunaenda kufanya fujo.
Ieleweke kwamba Bavicha tunaenda kusimamia agizo la Raisi na jeshi la Polisi la kukataza mikusanyiko yote ya kisiasa mpaka mwaka 2020, hicho ndicho kinafanya twende Dodoma kama raia wema kutoa msaada kwa jeshi la Polisi na sivinginevyo.
Intelijensia ya BAVICHA inatuonesha kwamba Polisi ni wachache mno na hawatakuwa na uwezo wa kuzuia mkutano huo haramu wa Ccm, ama kwa uchache wao au kwa kutishiwa na watawala kwakuwa mmoja ya mjumbe wa mkutano huo ni raisi wa jamuhuri ya muungano.
Bavicha tunataka kuona kama kweli raisi anaweza kusimamia maamuzi yake au ataingiza uchama katika hili, jambo ambalo litamshushia heshima zaidi kwa Watanzania.
Imetolewa July 05
Edward Simbeye
Idara ya uhamasishaji
BAVICHA Taifa

BAVICHA Taifa[/QUOTE
chadema kichwan hamnazo, mtavunjwa miguu bure na polis. ok mm ni kijana nimeshanunua luku ntakuwa nawachek kupitia ITV. hahahaaaaa
Mbayuwayu..Akili za kuambiwa changanya na zako.Salamu kwa vijana na watanzania wote wapenda amani katika nchi yetu.
Tuna shukuru Mungu kwakuwa zoezi letu la kuendelea na uratibu wa kwenda Dodoma kuzuia mkutano haramu wa CCM inaendelea vizuri sana.
Jana tulikuwa Tanga na jioni kikao cha mwisho cha uratibu tulikifanya Singida na hari ya vijana kwenda Dodoma kulisaidia jeshi la Polisi ipo juu sana,na mpaka sasa katika Center ya kupokea majina tayari tuna vijana zaidi ya elfu5 walio tayari kufika Dodoma.
Utakumbuka malengo yetu ni kufikisha vijana elfu mbili na mpaka sasa tumeweza kuvuka lengo tulilojiwekea kwa muda mfupi sana,Jambo la jema kwetu ni kwamba wapo mpaka wana CCM walijitolea kutufadhili kuwafikisha vijana Dodoma kwa lengo la kuona hii double standard inakomeshwa mapema ili nchi yetu ibaki kuwa na umoja,amani na ushirikiano kama awali,
BAVICHA tunatoa wito vijana wetu kuendelea kujiandaa kufika Dodoma, na kuacha kusikiliza maneno ya upotoshaji kutoka kwa wapinzani wetu kuwa tunaenda kufanya fujo.
Ieleweke kwamba BAVICHA tunaenda kusimamia agizo la Rais na jeshi la Polisi la kukataza mikusanyiko yote ya kisiasa mpaka mwaka 2020, hicho ndicho kinafanya twende Dodoma kama raia wema kutoa msaada kwa jeshi la Polisi na si vinginevyo.
Intelijensia ya BAVICHA inatuonesha kwamba Polisi ni wachache mno na hawatakuwa na uwezo wa kuzuia mkutano huo haramu wa CCM, ama kwa uchache wao au kwa kutishiwa na watawala kwakuwa mmoja ya mjumbe wa mkutano huo ni raisi wa jamuhuri ya muungano.
BAVICHA tunataka kuona kama kweli rais anaweza kusimamia maamuzi yake au ataingiza uchama katika hili, jambo ambalo litamshushia heshima zaidi kwa watanzania.
Imetolewa July 05
Edward Simbeye
Idara ya uhamasishaji
BAVICHA Taifa
Wakichapika kwa kusaidia polisi? Hueleweki.Mi nahamu nione huo msimamo wenu, mtoa post uongoze genge lako hivyo hivyo sio siku ikifika sio ukae nyuma ya tv nyumbani kwako huku ukishuhudia wale uliowashika maskio wakichapika!
Hahahahah......jikusanyeni wengi kabisa ili rungu moja iwe inapiga rundo kubwa la vichwa majiTarehe 23 inaweza ikawa ni mwanzo wa kuheshimiana.Ni wazi vijana hao wameamua kujitolea kutetea demokrasia.Wanajua watapigwa,watakamatwa na watawekwa ndani lakini ulimwengu utakuwa umeona dhuluma itakayotokea na itakuwa funzo kwa wahusika..
Hivi wewe na akili yako timamu kabisa unahisi hao polisi watawapa alliance BAVICHA???Wakichapika kwa kusaidia polisi? Hueleweki.
BAVICHA wekeni kikao mjadili kikamilifu na kwa umakini kama mko sahihi kupania kufanya kazi ya Polisi (enforcement) bila kualikwa na wenyewe na bila kuwa na uwezo wa kikatiba na kisheria (constitutional and legal mandate) ya kufanya kazi za kipolisi.
Aidha, mjue kuwa CCM ni chama cha siasa kama CHADEMA. Vyote vinafanya kazi chini ya usimamizi wa dola. Sasa kama Polisi hawaoni mikutano ya CCM ikiambatana na matishio ya alshababu wala ugonjwa wa ajabu wala kikwazo kwa kazi za JPM kama inavyokuwa kwa CHADEMA basi hilo ni zali la CCM. Msiwaonee wivu. CCM si adui yenu. Hao Polisi mliopania kuwasaidia ndio wabaya wenu. Na kwa hakika washajiandaa kuwapa kichapo kilichotukuka kama shukrani yao ya dhati kwa msaada wenu.
Na kwa bahati mbaya sana umma wa Watanzania hautakuwa nanyi katika huo mradi labda Kama itatokea kuwa safari hii hamuishii njiani; mnapambana hadi mtu wa mwisho. Lakini mkikatiza safari mkarejea uraiani tena bila ushindi ndipo mtakapoisoma namba ya kuonekana wababaishaji tu.
Hivyo, pigeni hesabu za gharama, matarajio na matokeo ili mjue mapema kabisaa muende kilomita ngapi na mradi huo utawafikisha wapi.