bata mzinga.

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
8,279
14,496
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili. Kama kuna mtu aliyewahi kumwona bata mzinga aki-do anyoshe mkono juu. Mimi niliwahi kuwafuga sikuwahi kuona waki-do, mi naona mayai na vifaranga tu.
 
Kama walikuwa wanataga (zoezi la kuzaliana linaendelea bila shida) wewe style zao za KU-DO unataka za nini?? Au unatafakari kuiiga style yao???
 
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili. Kama kuna mtu aliyewahi kumwona bata mzinga aki-do anyoshe mkono juu. Mimi niliwahi kuwafuga sikuwahi kuona waki-do, mi naona mayai na vifaranga tu.

Mi sijawahi kuona mwaya..

warning: VIEWERS DESCRETION IS ADVICED....MATURE CONTENT...25+ ONLY

HUWA WANAANZA NA KA''ROMANCE'' KIDOGO.....

didurturk2.jpg

HALAFU WANAMALIZIA NA MGEGEDO....

3-25-13-wild-turkeys-mating-p1040933.jpg
MontanaDecoy-2Turkeys.jpg
Wild-turkeys-mating.jpg
4735-800.jpg
 
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili. Kama kuna mtu aliyewahi kumwona bata mzinga aki-do anyoshe mkono juu. Mimi niliwahi kuwafuga sikuwahi kuona waki-do, mi naona mayai na vifaranga tu.
Topic yako inaendana na jina lako
 
warning: VIEWERS DESCRETION IS ADVICED....MATURE CONTENT...25+ ONLY

HUWA WANAANZA NA KA''ROMANCE'' KIDOGO.....

didurturk2.jpg

HALAFU WANAMALIZIA NA MGEGEDO....

3-25-13-wild-turkeys-mating-p1040933.jpg
MontanaDecoy-2Turkeys.jpg
Wild-turkeys-mating.jpg
4735-800.jpg

we mkali! Kuna jamaa'ngu m1 amenibishia sana kuhusu hii kitu. Pa1 na kufuga mwenyewe leo ndo nimeona malovee ya hawa bata.
Shukrani mkuu
 
hili jukwaa linawahusu mapenzi,mahusiano na urafiki lakini ni kwa binadamu sio mabata.....

Hahahahahahahhahaaaa 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😃😄 Nimeipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom