BASI NZURI ZA DAR - MOSHI

Cyn

Member
Jul 19, 2022
76
141
Happy Sunday🖐🥰
Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto.
T. I. A🙏
 
20221106_082100.jpg

Mwamba huyu hapa..Kilimanjaro express!
 
Mwendo wa Kobe panda Kilimanjaro Bus… tena kama huna pa kufikia ukishuka tu Kilimanjaro wana hotel yao hapo hapo….. reasonable price

Ila mimi ni team mwendo mpera mpera kwa kina Kidia one huko na Tilisho Safari..
Asante sana. Majibu yamejitosheleza kabisa maana pa kufikia nilikuwa nasubiri nifike ndo nijue namna. Mwendo mpera mpera siuwezi. Naogopa kufa utadhani sitakuja kufa🤣🤣🤣🤣
 
Ukoo bado unakuhitaji.. Mwendokasi sio mzuri..

Hivi kum-unblock WhatsApp mtu unafanyeje?
Kabisaaa. Ukoo unanihitaji sana tu na kufa sahv sijapanga kabisa🤣

Ku -unblock nenda SETTINGS >ACCOUNT>PRIVACY then drop menu yake utaona blovked contacts. Utabofya hapo utaangalia huyo EX wako au mbaya wako unayetaka kumtafuta weekend hii😀
Ukoo bado unakuhitaji.. Mwendokasi sio mzuri..

Hivi kum-unblock WhatsApp mtu unafanyejekwel

Hapo KLM rooms efu 40 nzurii, ghorofani unakula kipupwe..

Safari ni adventure murua, tena njia ya Kaskazini ni tamuuuu….. karibu & safari njema.
40k Affordable kabisa na ghorofani siku zote raha. Asante sana
 
Weee huwajui Kilimanjaro ee? Tena ukipanda Luxury ndio kobe mzee kabisaa…

Kitu Kidia one au Dar express, saa 11 kasoro mshafika Chuga zamani..

Kwanini ulimbock huyo mtu? 😂
Sasa huo mwendo wa kobe mzee si balaa. Nilitaka mwendo wa kobe. Ila sio mzee.
Nimepitia page ya KIDIA 1 insta naona kama nashawishika kusahau mambo ya usalama barabarani. Na comment ya watu pale nimeona kama customer service yao ni nzuri pia😀🤔
 
Yan Kidia one ni fayaaa mkuu, kwanza bus zao nzuri,, huduma nzuri,, mwendo ni mperaaa fasta mshafika 🤣👌

Kuna Tilisho pia, wanapepea..

Kuna Extra Luxury.. na ma free WiFi utayapata.. basi piruuu

BM nao wako vizuri ila hawakimbii.. hawa nawapendea kwenye parcel
 
  • Kicheko
Reactions: Cyn
Weee huwajui Kilimanjaro ee? Tena ukipanda Luxury ndio kobe mzee kabisaa…

Kitu Kidia one au Dar express, saa 11 kasoro mshafika Chuga zamani..

Kwanini ulimbock huyo mtu? 😂
Yaani weee mdada weye!! ....ebu subiri hapo! hapo! mbele nakuja........
 
Happy Sunday
Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto.
T. I. A

Go for Tilisho…no regret.
 
  • Thanks
Reactions: Cyn
Back
Top Bottom