Basi la ota lapata ajali

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,494
96,073
Basi la ota linalofanya safari zake kutoka bukoba kwenda dsm limepata ajali baada ya kuyagonga magari yaliyokuwa yamesimama barabarani baada pia ya kupata ajali maeneo ya dakawa na kuna habari kuwa abiria 5 kupoteza maisha
 
Lete habali iliyojitosheleza,mwenye taalifa kamili na aliyepo eneo la tukio tunaomba atupe taalifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…