figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Mabasi haya yatatumaliza sasa !!!
Kweli hawa bodaboda hawa nadhani hawashughulikiwi ipasavyo ndo maana ajali zinakuwa nyingi?Tatizo sio mabasi bali tatizo ni wale wanaoingilia njia za mabasi hayo!
Kweli hawa bodaboda hawa nadhani hawashughulikiwi ipasavyo ndo maana ajali zinakuwa nyingi?
Uzembe wetu kwanini ulale barabarani
Dawa yao ni kudhibitiwa kisawa sawaHata ukiwa barabarani hawa jamaa ni kuchomekea tu.
Dawa yao ni kudhibitiwa kisawa sawa
Naam hilo litakuwa suluhishoNi kuwazuia tu kuingia mjini kati.
Duh! aiseeeeeeeeee! yaani gari ni bora kuliko mtu. Kama aliyelala barabarani ni machizi wa k/koo ?Uzembe wetu kwanini ulale barabarani