Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
770
943
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo Jumuishi cha Utoaji wa Haki jijini Dodoma.

Aidha, Jaji Kakolaki amewaapisha Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP. Kombo Khamis Kombo na Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu katika Jeshi la Polisi, CP. Tatu Rashid Jumbe kuwa wajumbe wa Tume hiyo.
IMG-20250121-WA0906.jpg

Akizungumza mara baada ya uapisho, Jaji Kakolaki amemsisitiza Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe kutekeleza majukumu yao kwa ufasini, weledi na kutenda haki kwa mujibu wa Sheria.

“Niwaombe mtekeleze majukumu yenu bila upendeleo wala uonevu lakini mkiwa mnaongozwa na sheria, taratibu, miongozo na taratibu nyingine za kimazoea (busara)” amesisitiza Jaji Kakolaki

Jaji Kakolaki amemhimiza Mwenyekiti wa Tume na Wajumbe kutimiza wajibu wao kwa wakati ili kuviwezesha Vyombo vya Usalama vilivyochini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kufanya kazi na kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi mkubwa.
IMG-20250121-WA0900(1).jpg

Kwa Upande wake, Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, Innocent Bashungwa amemhakikishia Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Watanzania kuwa Tume itasimamia Sheria na kutenda haki bila kumuonea mtu.

Bashungwa ameeleza kuwa ataiongoza Tume kufanya maamuzi kwa wakati ili kuviwezesha Vyombo vya Usalama kuendelea kutekeleza majukumu yao kikamilifu.

“Vikao tulivyoelekezwa kuvifanya, tutahakikisha hakuna kikao kinavuka muda ambao tumeelekezwa kufanywa, na kufanya hivyo tutaweza kufanya maamuzi kwa wakati” ameeleza Bashungwa.

Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji ina mamlaka ya kuajiri, kusitisha, kupandisha cheo na kumthibitisha kazini Askari mwenye cheo kuanzia Mkaguzi Msaidizi hadi Kamishna Msaidizi.
 
Attachments

  • IMG-20250121-WA0908.jpg
    IMG-20250121-WA0908.jpg
    389.2 KB · Views: 1
BASHUNGWA AAPISHWA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA, ZIMAMOTO NA UHAMIAJI.

hakuna lolote, wananchi tunataka jeshi la polisi livunjwe lote kabisa na kuundwa lingine jipya chini ya sheria mpya. hili lililopo limepoteza kabisa uhalali, hatuliamini na hatulitaki kabisa
 
Kazi ya tume hiyo ni ipi?
 
  • BASHUNGWA AAPISHWA KUWA MWENYEKITIKI WA TUME.MP4
    87.2 MB
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.02.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.02.jpeg
    436.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.51.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.51.jpeg
    238.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.55.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.55.jpeg
    347.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.58.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.38.58.jpeg
    389.2 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.41.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.41.jpeg
    379.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.43.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.43.jpeg
    301.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.46.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.46.jpeg
    377.9 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.48.jpeg
    WhatsApp Image 2025-01-21 at 16.39.48.jpeg
    547.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom