KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,751 9,002 Mar 11, 2017 #1 Naomba utoe Kichwa cha Habari kwa magazeti ya kesho.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,945 67,565 Mar 11, 2017 #5 Tanzania Daima: Ya Aboud Jumbe mwaka 1984 yajirudia tena Dodoma. Mtanzania: Wakazi 400 wavunjiwa nyumba zao Buguruni Uhuru : Wasaliti waondolewa CCM HAbari Leo: Wengi wasifu mabadiliko ya CCM Dom
Tanzania Daima: Ya Aboud Jumbe mwaka 1984 yajirudia tena Dodoma. Mtanzania: Wakazi 400 wavunjiwa nyumba zao Buguruni Uhuru : Wasaliti waondolewa CCM HAbari Leo: Wengi wasifu mabadiliko ya CCM Dom
Kajolijo JF-Expert Member May 30, 2016 3,364 4,612 Mar 11, 2017 #6 Uhuru, Chadema wajiandaa kupokea makapi yaliyofukuzwa CCM kama kawaida yao
ChamiNdonda Senior Member Mar 12, 2016 135 184 Mar 11, 2017 #8 Ng'ombe wasio na mikia waondolewa Baadhi wapewa onyo.
Malaika Mkuu JF-Expert Member Nov 5, 2014 902 909 Mar 11, 2017 #9 Tumaini twa kuku ni tutamu kuliko twa mbuzi
Th los proffcnal JF-Expert Member Feb 8, 2015 583 345 Mar 12, 2017 #10 Tanzania Daima litauza sana kipindi hiki,Uhuru wangepumzika tu.