king Davidson
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 252
- 1,063
And he must know that it is getting lateBashe anatakiwa ajue kuwa hawezi kuleta mabadiliko akiwa ndani ya ccm, watamvua uanachama
Ukichinja ng'ombe mzee mwenye kuzalisha lita 1 ambayo ina mnyonyesha ndama wake na kununua ndama ambaye baada ya muda atazalisha lita 30 hapo maana ya hii kwenye uchumi huyu mbunge analifahamu? Basi hii ni theory nyepesi kwenye short term na long term effects kwenye economics inapofanyika changes...payee imeshuka, kwa lugha rahisi watu wengi watanzania wengi wameondolewa kazini ndo maana payee imeshuk...
"inputs good' VAT dropped/ kodi ya ongezeko la thamani ya bidhaa malighafi imeshuka kwa lugha rahisi viwanda vimepunguza uzalishaji.... implication yake kodi ya mapato itapungua
mapato ya bandari yameshuka kwa 13%, wafanya biashara wanaotumia bandari ya dar wamepungua wakati mizigo ya wafanya biashara wa Tanzania wanaotumia bandari ya Mombasa ikiongezeka kutoka 1% asilimia hadi 2.7%
biashara mpya 200,000 ila hazina matokeo yoyote chanya katika ongezeko la kodi wakati biashara 7000 zimefungwa zikileta na matokeo hasi katika kodi
Kwahiyo kwa mchango huo alioutoa bungeni tafsiri yake ni kwamba hakubaliani na wenzake? Kweli CCM inaipeleka shimoni nchi hii!Si aende kwa baba yake Lowassa?Kama unaona hukubaliani na wenzako uungwana ni kujitoa tu
Bashe anatakiwa ajue kuwa hawezi kuleta mabadiliko akiwa ndani ya ccm, watamvua uanachama
In the long term we are all dead. Keynes alisema.Ukichinja ng'ombe mzee mwenye kuzalisha lita 1 ambayo ina mnyonyesha ndama wake na kununua ndama ambaye baada ya muda atazalisha lita 30 hapo maana ya hii kwenye uchumi huyu mbunge analifahamu? Basi hii ni theory nyepesi kwenye short term na long term effects kwenye economics inapofanyika changes...
Umemsikiliza na kumuelewa au unaandika tu?Msiwe mnatoa sifa zisizo kuwepo...Alitakaje sasa? Tuendelee kuwakumbatia wahujumu elimu ambao kwa uhakika mkubwa ndiyo chimbuko la low social capital huku tukiwaacha watu mahiri nje ya mfumo ambao kutokana na hii penalty hawatakaa waige huu mfano bali kufanya kazi na kujiendeleza kwa uaminifu wote? Vivyo hivyo, tuache kuvunja bishara ambazo nyingi ni zinazo saidia capital flight kwani ni biashara zenye bidhaa za mataifa ya nje huku wakikwepa kulipa kodi in expense ya growtj kwenye zile za ndani zenye raw materials ambazo hazifanyiwi value additions? Hii basi kama mnaita akili nawaona huruma wote wenye matazamo huo...Huyo in ensense anaweza kuwa moja wa wafaidika wa mfumo huo dhalili kwa watanzania wa nchi hii...
Kutoa ushuri watofauti unasema aundoke ccm si tutabaki na matakataka mi nilifikiria serikali ifanyie kazi changamoto hizoSi aende kwa baba yake Lowassa?Kama unaona hukubaliani na wenzako uungwana ni kujitoa tu