Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

Rege

Senior Member
Jul 9, 2022
116
152
JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.

Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa yoyote kuhusu utoaji wa vibali vya sukari baada ya Mahakama kumsafisha kuhusika na tuhuma hizo.

Pia soma
- Nani yuko nyuma ya kashfa ya Sukari?
 
Hivi bunge bado linakuwepogi?
 
Hivi Tanzania kuna mahakama ?.
 
Rushwa ilianzia kwa Abdul hakuna namna
 
Ningeshangaa kama mahakama isingefuta hiyo kesi! Hayo ni maagizo rasmi ya Jaji Mkuu Ibrahim Juma!
 
JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa.

Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa yoyote kuhusu utoaji wa vibali vya sukari baada ya Mahakama kumsafisha kuhusika na tuhuma hizo.

Pia soma
- Nani yuko nyuma ya kashfa ya Sukari?
Tangu mwanzo hakuwa na kashfa maana ilikuwa tuhuma tu.
 
Ipo siku Bashe atasema ukweli wake ,kuwa mama Abdul ndiye mwenye vikampuni vya kuuza kalamu na madaftari vilivyopewa vibali vya kuagiza sukari.
 
Back
Top Bottom