Watu wengine watakufa vifo vibaya sana.. Hv kweli unaweka watoto wa wenzio uchi hadharani na km hiyo haitoshi, bado unawakuwadia kwa wanaume wenye pesa zao kwa ahadi za mbalaimbali zisizotekelezeka!!! Mwishowe wanambulia kupigwa rungu then wanaachwa na makovu na maumivu makali kwenye mioyo yao. Hii ndiyo kazi ya kamati ya miss tz na mkiti wake!
Lundenga Mungu anakuona.