Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 830
- 1,990
Waziri wa maji Aweso.
Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi.
Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa hili limeshabihi kushindwa kutekeleza maagizo yako. Hapa Kinyerezi sio tu mgawo. Ni hakuna maji na kama yapo hayatufikii.
Baadhi ya maeneo maharani ninapoishi mimi ni mwezi wa tano, naweza kusema ni tangia ulivokuja hadi leo hii hata mita zinasoma 0.
Mh Aweso. Maji yapo na tunayaona yakimwagiba barabarani. Kuna mwananchi aliomba ujiunge kwenye magroup ya whatsapp walau ujionee malalamiko na ahadi za uwongo zinazoteolewa na watendaji wako.
Mvua ndio tegemeo letu. Zikinyesha tunaambulia maji ya kunywa. Magari hatuna uwezo kuyaita tuletewe maji.
Ndg yangu aweso..ulimtumbua manager ukamuhamisha ulimuinea bure. Shida yetu ni maji sio uongozi wenu. Harakisha wasitubake na kuwabaka watoto wetu
Njoo utusaidie saranga mtaa wa mtanzania.
Wako mamii edina.