Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 118
- 232
Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa.
Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa makusudi wana wakwambisha kwenye biashara yenu.
Ushauri wangu kwenu wekini pia kitengo cha intelgensia katika kampuni yenu msione Coca-Cola adi leo ipo toka kuanzishwa sio kwa bahati mbaya ingesaidia kumjua anae wahujumu.