Barua ya posa inaandikwa vip?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
2,074
3,609
Khabari za mida hii waungwana!!
Kwa mliooa Naomba nisaidiwe Barua ya posa inaandikwa vp na inapelekwa na nani??

Na maanisha nani anaebidi aandike?
Mshenga au ww??
Wakati wakupeleka posa mhusika inabidi uwepo au si lazima??


Nataka niingie rasmi kwene ndoa rasmi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom