Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Ijulikane wazi kuwa mwaka huu CCM wanatembea uchi ,katika mazingira ya kutatanisha Jecha Pakacha ameonekana kutoa tangazo mafichoni na kusomwa na TVZ.
Wachunguzi wa mambo wanasema kwa vile ile barua(Tangazo) ni official Document ni lazima ilitakiwa iwe na mihuri ya tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC ,jambo ambalo haikuonekana wanaoyajua mambo wamenena ilitayarishwa na wahafidhina wa CCM na kilichowashinda ni kuipata mihuri ya ZEC,kwani hili si uamuzi wa ZEc.
Na jingine mara zote ZEC au NEC wanapotoa tangazo huwepo katika meza iliyo na washiriki wa TUME iwe watatu au zaidi kwa tangazo hili hamna kitu,ni Jecha akiwa mbele ya pazia kwa maana yupo chini ya mtutu wa kiongozi na mkuu wa vikosi vya SMZ.
CCM wametayarisha barua na kumpa Jecha aweke saini wakighafilika juu ya mhuri na uwakilishaji wa barua jambo ambalo linazidi kuwaumbua.
Jecha hakuisoma barua hio ndani ya vituo vya TVZ wala kwenye ofisi za ZEC wapi aliisoma na kurekodiwa CCM wanajua zaidi.
Ukweli utazidi kuja juu na dhuma kuwepo kando,wahafidhina wanaendelea kuitumbukiza nchi kwenye balaa kwa matamanio ya kidunia .
Nina uhakika CUF hawatoshiriki uchaguzi huu na hilo wanaliweza kabisa naona tarehe hio ndio itakuwa tarehe ya maandamano kwa nchi nzima.