Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,773
- 4,783
BARUA KWA KIZURI CHANGU MTARAJIWA
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa hakika ya maisha na afya hii niliyonayo. Niko mahala napambana ili kuhakikisha mimi nasimama kama mume wako na baba pia
Kuzaliwa kwangu kulikuwa ni furaha ila kadri nilivyozidi kukua ndipo nikaanza kupevuka MWILI sasa najiona nimepevuka KIAKILI na KIROHO maana nishajua yapi mema na yapi mabaya katika uso wa dunia hii. Najielewa
Daaa nimejikuta mpaka nimesahau kukujulia hali kizuri changu, habari za tabasamu lako na kila uzuri wako uliojaliwa na Mungu muumbaji
Habari huko uliko naimani kila kitu kiko sawa ingawa sijaja kwenye maisha yako mimi niliye zawadi katika maisha yako mimi ndiye ile tunu yako ambayo Mungu Baba amekuandalia wewe
Habari za uzuri mwanana! Waoo kuna sauti inanijia ikiniambia wewe ni mtu nzuri, mpole na mnyenyekevu kweli ila nabaki kujiuliza wewe una nani na uwapi? Natabasamu mwenyewe
Kuna wakati najipa TASWIRA huko uliko je uko katika hali gani kizuri changu! Najaribu kuwaza siku tukikutana je utasadiki na kunipokea kwa namna ile njema au utaanza kuniringanisha na walioawahi kukuumiza nyuma kabla yangu 😢
Nakupenda ijapokuwa sikujui kiuhalisia ila natembea na TASWIRA na IMANI ulivyo TUNU
Soma BARUA hii kisha uifiche iwe siri yako wala usimwambie mtu mwingine. Wasije kuiona wakakuuliza maswali mengi kuhusu mimi ni nani na niko wapi na kwa nini siji sasa ifiche barua hii kizuri changu, nakupenda sana.