Barbara Gonzalez: Machawa na Wapambe ndio wanaendesha Siasa za Tanzania, Watu wanalipwa Ili Wachafue au Wasifu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
91,117
158,387
Japo mimi siyo mpenzi wa Simba SC Lakini nimemuelewa sana Gonzalez

Alichoongea ndio Ukweli Wenyewe huku Siasani
---
1717864364497.png

Kweli watu wanalipwa kupost picha za mtu kazini? Watu wazima kabisa wanakaa maofinisi kuaanda captions za wapambe kupost? Hizi ndo ajira za mitandao?

When did this become a strategy for statesmanship? The blind pursuit of cheap popularity!
 
Kumbe Barbara ameshaingia kwenye siasa? Nilikuwa nafikiria kuanza kumpigia mahesabu sasa inabidi nijiulize mara mbili mbili 😅
 
Kaongea fact, halafu eti TZ Kwa uchawa huu tuje tufanye innovations za kisayansi na kufanya mapinduzi ya viwanda. Hii tutaendelea kusikia kutoka Kwa wenzetu tu, na huku sie tukiendelea kupiga Domo na kusifu anaupiga mwingi.
 
Kwa meseji hii, Barbra amegusa "live wire". Asitembee peku.
 
Back
Top Bottom