Makao makuu ya manispaa nenda pale Luguruni unaingia left as you are from Mbezi louisHabari wadau.
Naomba msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za baraza la ardhi wilaya ya ubungo zilipo.
Zipo sehemu gani ?
Manispaa ya ubungo napajua.Makao makuu ya manispaa nenda pale Luguruni unaingia left as you are from Mbezi louis
Baraza linaanzia kwenye kata,nenda ofis ya kata yakoManispaa ya ubungo napajua.
Je baraza la ardhi la wilaya ofisi yao ipo hapo hapo manispaa. Namaanisha wale wazee Wanaofanya majukumu kama mahakama ya kesi za ardhi.
Swali langu Sijamaanisha natafuta ofisi ya afisa ardhi wa manispaa wanahusika na upimaji na urasimishaji
Baraza linaanzia kwenye kata,nenda ofis ya kata yako
Unabisha Bure,nenda wilayani,ofc za Baraza zipo hukoKata nimeshaenda. Nimeambiwa niende la wilaya. Maana kuna viwango vya value ya ardhi vimewekwa.
Kuna vya kesi kwenda baraza la ardhi kata, kuna vya kesi kwenda baraza la ardhi la wilaya, na kuna vya kesi kwenda mahakama kuu