LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 650
RESOURCE CURSE
Resource ni rasilimali
Curse ni laana
Hivyo RESOURCE CURSE ni balaa au laana ambayo inaambatana na nchi, mtu, kubarikiwa jambo flani.
Waswahili wanasema kwenye miti hapana wajenzi.
Nchi za kiAfrica zina experience sana hii laana, nchi zimebarikiwa na rasilimali za kutosha lakini umasikini hauishi.
Jina lengine linalotumika ni PARADOX OF PLENTY au POVERTY OF PARADOX
Mfano 1:
Nchi kama Congo ambayo imebarikiwa na wasilimali ya mafuta inapitia wakati mgumu kutokana na neema iliyobarikiwa na Mungu.
Mfano 2:
Mwanamke akiwa mzuri sana, basi watu wengi humtamani ila wachache sana ndio wapo teari kumuoa.
Mnakaribishwa kutoa mifano relevant
#resourcemanagement #resourcecurse #blessings #paradoxofplenty