KERO Barabara za mitaa Halmashauri ya Mkalama ni mbovu na kikwazo kwa wananchi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Halmashauri ya Mkalama kwa muda mrefu Barabara za mitaa hazijachongwa kwa baadhi ya maeneo na hii imepelekea kero hasa kwa wakazi Wa maeneo hayo hata kupata ugumu wa kupita na mizigo.

Tungeomba wahusika wafanyie kazi hilo, mfano mitaa kama Nkyembo na Monduli.
 
Back
Top Bottom