Barabara za masaki na viraka

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,435
4,608
Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri hapa JF ndio wajue pale panastahili kuwekwa zege?

Mimi sio mtaalamu wa Ujenzi lakini kinachofanyika pale kila mvua ikinyesha hakikubaliki. viraka juu ya viraka. Ningetamani kupata record kuanzia waanze kuweka viraka pale zimetumika pesa kiasi gani?

Tubadilike.
 
Mmmmh
20240729_142929.jpg
 
Wakimaliza mitaa yote wakakamilishe na Mitaa yangu Miwili ya Chole Road kuanzia ilipo Nyumba ya Lukuvi anayokaa Mwanae wa Kiume, kuja Kona ya kwenda Slip Way jirani na Nyumba ya Dogo niliyekuwa nae George na Mama yake Mama Queen ( ambayo sasa wamempangisha Mzungu ) na Mtaa wangu wa Kaole. Na kama watapata muda waende na Mtaa ambao nilipata sana Gono wakati nanunua Mbunye wa Haile Selasie kwani Barabara zake kwakweli zinatia Aibu hasa kwa Hadhi ya Masaki na Oysterbay pia kwa ujumla.
 
Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri hapa JF ndio wajue pale panastahili kuwekwa zege?

Mimi sio mtaalamu wa Ujenzi lakini kinachofanyika pale kila mvua ikinyesha hakikubaliki. viraka juu ya viraka. Ningetamani kupata record kuanzia waanze kuweka viraka pale zimetumika pesa kiasi gani?

Tubadilike.
Hizo zinaitwa barabara za makada wa ccm ...yaani kuna watu waccm wamegawana tenda za ulaji zinajengwa ili zibomoke zijengwe tena na tena maana kwa kufanya hivyo makada ya ccm yanapata pesa.
 
Kuna hili Eneo hapa Kanisa la st. Peters karibu na gate la "Security officers" Barabara imewekwa viraka juu ya viraka. kila inaponyesha mvua lazima iharibike hivi kweli mpaka mtu apate ushauri hapa JF ndio wajue pale panastahili kuwekwa zege?

Mimi sio mtaalamu wa Ujenzi lakini kinachofanyika pale kila mvua ikinyesha hakikubaliki. viraka juu ya viraka. Ningetamani kupata record kuanzia waanze kuweka viraka pale zimetumika pesa kiasi gani?

Tubadilike.
Unajua chini ya hivyo viraka kuna nini? Usiingilie mambo ya watu.
 
Huu ufundi wa kubandua kipande nankuacha wazi hata mwezi then kuja kuziba hii kihandisi ni utapeli . Kama wanaweza wamwage ,zege basi.
Magufuli aliziweza barabara hakuna mwingine
 
Hata mitaa yangu barabara nzuri
Ila masaki sehemu nyingi ovyo
Na kule kichangachui ndiyo dohh

Ova
Mkuu Masaki barabara mbovu ni mbili tu. Chole road kutoka hapo IST hadi kona ya Slipway na ile barabara ya Slipway to Yatch Club. Kipande ambacho kineharibiwa na malori ya Ziwa Mafuta wanaojenga mall ulipokuwa ubalozi wa Msumbiji. Haile Selassie ni mbovu kipande kilichopo Oysterbay. Kwahio hao wa Masaki wanadeka tu hawana shida kivile.
 
Back
Top Bottom