Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo.
Mamlaka ichukue Hatua za haraka kuepusha magari kuzama na kudondoka