Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,190
Kila mwak napenda kuzurura mikoa mbalimbali nchini ili kujionea hali ya nchi yangu, safari hii nimeeda Songea kupitia Morogoro, Iringa, Njombe.
Ukitoka Dar barabara zina unafuu sana hadi Njombe, ila kutoka Njombe kwenda Songea barabara imekaa kama barabara ya wilayani ilitotengenezwa na TARURA. Yaani barabara imeachwa parefu na barabara ya Malamba Mawili pale Dar.
Zingatia Songea kunatoka vitu vingi kama mahindi, Makaa ya Mawe nk. lakini ukifika Njombe kwenda Songea idadi ya malori inapungua mengi yanayopita njia ile ni yanayobeba makaa ya mawe tu, it seems wengi hawapendi kupeleka magari yao kule kwa kuhofia njia ilivyo.
Wilaya ya Songea haifikiwi kabla ya kupita Wilaya ya Madaba ambazo njia ni hiyo hiyo ubora wake unafanana. Ni muhimu hatua ichukuliwe kuboresha njia ile kwa kuzingatia kuwa kuna mengi mazuri yanapatikana Songea.
Nashare picha ya Kaa la mawe nililookota Songea nikaja nalo home kama Souvenir